top of page
3 pack prices salt.jpg

Maelezo

Zama katika bahari ya fleva na kripsi zetu zenye fleva ya chumvi! Kila kripsi ina mlipuko wa fleva ya chumvi, iliyochanganywa kwenye viazi vyenye ubora wa hali ya juu, vyenye utamu usioelezeka.

Jitayarishe kwa safari ya kusisimua ya kranchi na nyota wa mchezo - chumvi

Viungo

Viazi, mafuta ya alizeti, chumvi

Fleva pilipili cheche

Maelezo

Kila kripsi ina mlipuko wa fleva ya moto ya pilipili, uliyochanganywa kwenye viazi vyenye ubora wa hali ya juu, vilivyo na utamu usioelezeka, na wa kusisimua.

Jitayarishe kwa mlipuko wa fleva utakaokuacha ukitamani kripsi za Cheche pilipili zaidi na zaidi.

Viungo

Viazi, mafuta ya alizeti, viungo vya pilipili

3 pack pilipili Prices.jpg
3 pack tomato price.jpg
Fleva cheche

Maelezo

Vinjari na fleva tamu ya kripsi zilizokaangwa kwa njia ya kipekee na kuchanganywa na fleva ya nyanya! Kripsi za Cheche nyanya zina mchanganyiko muruwa wa fleva ya nyanya iliyokolea, inayoburudisha na yenye kranchi ya kipekee.

Jiandae kufurahia mchanganyiko wa fleva kamili ya nyanya,

Viungo

Viazi, mafuta ya alizeti, viungo vya nyanya

Premium Quality Logo

Tufuatilie

  • Instagram
  • LinkedIn
bottom of page